tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,145 May 19, 2011 #1 Kiwanja kina mapagala mawili, kipo Ubungo-Msewe karibu na Chief Kunambi. Mawasiliano. 0719193149/0713802507
Kiwanja kina mapagala mawili, kipo Ubungo-Msewe karibu na Chief Kunambi. Mawasiliano. 0719193149/0713802507
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,456 Reaction score 36,471 May 19, 2011 #2 mapagala nini?
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,145 May 19, 2011 Thread starter #3 mama D said: mapagala nini? Click to expand... nyumba ambazo hazijaisha, zisizo na madirisha wala paa
mama D said: mapagala nini? Click to expand... nyumba ambazo hazijaisha, zisizo na madirisha wala paa
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,658 May 19, 2011 #4 tsh. 35,000,000? ama kweli tsh ni gharasha siku hizi! maana niliwahi kununua eka 4 maeneo hayo miaka 12 iliyopita kwa sh. 70,000 tu!
tsh. 35,000,000? ama kweli tsh ni gharasha siku hizi! maana niliwahi kununua eka 4 maeneo hayo miaka 12 iliyopita kwa sh. 70,000 tu!