Nauza kiwanja changu mwenyewe kipo tegeta kwa Makamba kinafikika kwa urahisi ,hakina hati but kina offer.bei kuanzia 15m pungufu unaongea...ni pm kwa maelezo zaidi.
size ni nusu eka..hakina tatizo lolote ni changu mwenyewe..10 tunaongea mkuu...kinafikika kwa urahisi..maji yapo...barabara nzuri....ni pm kama unataka kukiona.