dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Kweli Mkuu,Duuh kwa bei hii ni bora uende zako kimbiji ujipatie kiwanja chenye hati cha 7 milioni inayobaki ujenge
Hiyo bei iko sawa sawa? Hebu iandike kwa maneno tafadhaliKiwanja kipo tegeta ununio maeneo ya kilimo kwanza, kina ukubwa wa 800sqm
Kina hati na kiko kwenye mitaa mizuri
Bei 60m
Bei ina maongezi kidogo
Mawasiliana na kuja kuona
0756060183
Ndio ununio ni Tegeta ingawa nija ni kunduchiTegeta kuna Ununio? Sio kunduchi?
Wewe unataka tuuze shngapi mkuu?Kiwanja cha 32 x 25 huwezi uza bei hio kijana
Kweli kabisa.fanya hivyoKiwanja bei hiyo najenga nyumba, mabanda ya kuku na kuku wenyewe