Mauza uza JF-Expert Member Joined Jul 24, 2008 Posts 2,094 Reaction score 1,376 Dec 12, 2011 #1 Kiko jirani na kwa Makamba njia panda ya Wazo hill..hakijapimwa...but kiko documented vizuri...robo eka....bei ni 20 million pungufu unaongea...kwa mawasiliano zaidi piga 0715314911.
Kiko jirani na kwa Makamba njia panda ya Wazo hill..hakijapimwa...but kiko documented vizuri...robo eka....bei ni 20 million pungufu unaongea...kwa mawasiliano zaidi piga 0715314911.
ZionTZ JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,282 Reaction score 541 Dec 13, 2011 #2 kuna majambazi huko balaaaaaaaaaa mbezi ya kimara cha mtoto...yani wakiamua wanavunjaga hata nyumba kumi kwa mpigo
kuna majambazi huko balaaaaaaaaaa mbezi ya kimara cha mtoto...yani wakiamua wanavunjaga hata nyumba kumi kwa mpigo
FairPlayer JF-Expert Member Joined Feb 27, 2006 Posts 4,145 Reaction score 733 Dec 13, 2011 #3 Duh wabongo kwa kuharibu! kwani majambazi hayatembei?