Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea

MWANABUNDA

Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
25
Reaction score
10
Kiwanja kinapatikana segerea kwa bubi 200meter kutoka barabara ya lami. Bei maelewano dalali haitajiki. 0755785754
 
Huu ni ujinga, huwezi kusema bei maelewano bila kuweka bei ya kuanzia. Sasa mtakuwa mnaelewana nini?
Tangazo lenyewe lipo kihuni tu, hamna ukubwa wa kiwanja wala picha.
 
Huu ni ujinga, huwezi kusema bei maelewano bila kuweka bei ya kuanzia. Sasa mtakuwa mnaelewana nini?
Tangazo lenyewe lipo kihuni tu, hamna ukubwa wa kiwanja wala picha.

Mkuu we ni dalali nn? Sioni sababu ya kumshambulia kiasi chote hicho wakati ni suala lakumfahamisha tu kistaarabu
 
Kiwanja kinapatikana segerea kwa bubi 200meter kutoka barabara ya lami. Bei maelewano dalali haitajiki. 0755785754

nimefungua ili tangazo nikajua kuna detail zote kumbe hamna kitu. Watanzania wenzangu unapouza kitu weka details kama ukubwa wa kiwanja, direction na pia bei hivyo vitu ndio vinavyomvutia mteja. mm ni mnunuzi wa viwanja ila kwa hapa sijavutiwa hata kuuliza zaidi mtoa tangazo jipange
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…