Kiwanja chenye ukubwa wa sft4600 kinauzwa Tabata segerea. kiwanja kina hati na kipo karibu na barabara .Asking price millioni 130.
Contact me: 0752953860
Watanzania kwa kupanga bei za kushinikiza hawajambo. Kiwanja kinauzwa kwa bei hiyo, nyumba ikijengwa hapo pamoja na gharama za kununua kiwanda itakuwa mabilioni hata kama ni ya vyumba vitatu tu vya kifamilia.