Gypsum haifai mkuu umeuamchwa sasa huko kwenu Songea!! hadi silingibodi inabidi uweke mabati badala ya material mengine!!!!
Niliwahi kwenda huko karibia kila nyumba ya wageni wameweka bati badala ya silingibodi ndio nikauliza kwanini iwe hivyo wakasema kuna mchwa hatariGypsum haifai mkuu umeua