ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,381
- 4,664
Ijumaa Karim wadau;
Kiwanja kinauzwa,Kipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali,KM 1 kutoka barabara ya Arusha Moshi upande wa JUU.Kiwanja kina nyumba mbili self contained Moja ina vyumba viwili na sebule na choo na nyingine ina vyumba vitatu vya kulala,sebule,jiko dining na choo,Shimo la choo limechimbwa.
Eneo liko karibu na miundo mbinu ya maji,na umeme.
Bei ni Milion 22
Mawasiliano ni 0629948930