Ok, anyway ufafanuzi wa mwisho, unajua nini mi nipo serious mkubwa usichoke. Kigara bado nashindwa kupatambua. Hebu niambie kipo karibu na wapi kati za hizi sehemu za buswelu wilayani. Ccm kule juu, voda yaan mbele ya ccm, karibu na ofisi za manispaa, hapa katikati mitaa ya kabwalo, mitaa ya kituo cha daladala kwa mwarabu au kipo karibu na sehemu ipi inayojulikana?. Kama kimepimwa ulipewa ile offer kudhibitisha kwamba hicho kiwanja ni mali yako na si vinginevyo. Nikishajua mahari kilipo na uhalali wake kwako nitakucheck tuanze biashara.