Nilichomaanisha ni kwamba, eneo zuri na ni lako kabisa.
Lakini tangazo haujaliweka vizuri, lina mapungufu mengi kiasi watu wanaweza kukufikiria wewe ni tapeli. Ndio maana nikaandika kwanini unataka kujipachika au kujulikana kama tapeli bila sababu?
Fanyia kazi hayo marekebisho madogo tu uliboreshe tangazo mkuu.