Kiwanja kinauzwa Mwanza

Kiwanja kinauzwa Mwanza

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,504
Reaction score
8,253
kiko buswelu kahama, bei 3,000,000 ni squatter
 
Kwanini hakijapimwa? Na kama hakijapimwa kwanini unakiita kiwanja?

Kama hakijapimwa ulipaswa useme shamba!

Naitaji kukiona ila nijibu kwanza.

ndo maana nikasema kiwanja hakijapimwa na umeelewa, hizo aka zake hazipotez maana. eneo, shamba, ardhi, nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom