HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 715 Dec 11, 2019 #1 Wakuu habari, Ninauza kiwanja mkoa wa mtwara. Mahali: ziwani/mtawanya Bei: 1,500,0000 Ukubwa ni nusu eka. Kipo katikati ya makazi ya watu siyo shamba. Pia kuna minazi, migomba na maji yako karibu. Mawasiliano 0767464811
Wakuu habari, Ninauza kiwanja mkoa wa mtwara. Mahali: ziwani/mtawanya Bei: 1,500,0000 Ukubwa ni nusu eka. Kipo katikati ya makazi ya watu siyo shamba. Pia kuna minazi, migomba na maji yako karibu. Mawasiliano 0767464811
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 715 Dec 11, 2019 Thread starter #2 Bei ni 1,500,000/- karibuni
Northman JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,587 Reaction score 2,518 Dec 11, 2019 #3 Na hiyo miti mirefu ni sehemu ya kiwanja? Na kiwanja chenyewe kimekaa kama open space.
Drizzle JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 4,857 Reaction score 14,748 Dec 11, 2019 #4 Ziwani/mtawanya ipo mtwara mjini? Btw, picha zinavutia
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 715 Dec 12, 2019 Thread starter #5 Nje kidogo ya mji. Njia ya kwenda mnazi bay
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 715 Dec 12, 2019 Thread starter #6 Drizzle said: Ziwani/mtawanya ipo mtwara mjini? Btw, picha zinavutia Click to expand... Kipo safi sana. Kina nafasi yakutosha. Nilihama kikazi naona uwezekano wa kupaendeleza ni mdogo. Nipo mikoa ya mbali kusini nyanda za juu
Drizzle said: Ziwani/mtawanya ipo mtwara mjini? Btw, picha zinavutia Click to expand... Kipo safi sana. Kina nafasi yakutosha. Nilihama kikazi naona uwezekano wa kupaendeleza ni mdogo. Nipo mikoa ya mbali kusini nyanda za juu