Kiwanja kinauzwa mtwara mjini

kawakama

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,299
Reaction score
391
wamajamvi karibuni nina kiwanja nakiuza kipo mtwara mjini, ni kikubwa(low density ya square meter 1500)
kimepimwa hati bado haijatoka ndio naishughulikia muda wowote itatoka
kwa wale waliowahi kufika mtwara kipo katika mji mpya wa Mitengo ni km 5 tu kutoka katikati ya mji
kipo eneo la juu ambalo ni tambalale ambapo mji wote wa mtwara unauona na pia upepo wa baharini(sea breeze) pia unapatikana ukiwa ktk kiwanja hicho kwani maeneo kilipo ni jiran sana na bahari kama km 3 hivi
serous buyers ni PM tufanye biashara
 

Weka bei,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…