Kiwanja kinauzwa Moshono - Kiserian, Arusha.

Kiwanja kinauzwa Moshono - Kiserian, Arusha.

Brakelyn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,181
Reaction score
522
Kiwanja kipo Moshono Kiserian, dimensions 38 meters by 22 meters (836 sqmts). Kiwanja kipo 2.5km from Moshono Road - Kona ya Kiserian, 140 meters from the main road, 300 meters from EAC Road round about. Maji "AUWSA" na umeme "TANESCO" ni wa kujivutia tu. Good view of Mt. Meru & Mt. Kilimanjaro. 10km from Arusha Clock Tower.
GPS Coordinates: (-3.433259,36.741904) / (3°25'59.7"S 36°44'30.9"E)

Bei: 18,500,000/= (Negotiable).
Contacts: 0716-904626 / 0767-174757.

b.jpg


Hii.jpg


20180611_183924.jpg


20180611_183916.jpg
 
kiongozi kuna 5M hapa tufanye biashara kama ita kupendeza...
 
Inaonekana hii picha aliichukua muda mrefu kidogo,kwa sababu mi niko kwa mbele kwa sasa hivi pamejengeka sana.
kwahiyo hapa MTU una weza uziwa cheni bandia? au sehemu ya bahari wakati maji yame safiri kwa muda...


Mimi nikiangalia round about ya kijenge bado naisi naifananisha maana siielewi...
 
kwahiyo hapa MTU una weza uziwa cheni bandia? au sehemu ya bahari wakati maji yame safiri kwa muda...


Mimi nikiangalia round about ya kijenge bado naisi naifananisha maana siielewi...
Njoo mpaka moshono kona,shuka na hiyo bara bara unapita fun retreat,malaika utaingia barabara ya mkono wa kushoto kabla ya kufikia bara ya EA.
 
Picha za google maps sio sehemu zote ni real time. Huwa wana update kila baada ya muda. Hiyo nimechukua jana ili kuelezea eneo lilipo! Pamejengeka zaidi na lami ya round about imemalizika kwa sasa..
Inaonekana hii picha aliichukua muda mrefu kidogo,kwa sababu mi niko kwa mbele kwa sasa hivi pamejengeka sana.

hapana, ni mwenye eneo!
Wewe Ni Dalali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom