kiwanja kinauzwa mkuranga

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,906
Reaction score
9,691
wakuu mambo vipi

nauza shamba langu la ukubwa wa hekari moja plus liko mkuranga mbele ya Hospitali ya wilaya ya mkuranga shamba liko karibu kabisa na barabara kuu
bei yangu ni million sita cash
kwa mawasiliano unaweza kunicheck
+255 677 890 811
 

Attachments

  • WP_20170304_15_08_34_Pro.jpg
    398.1 KB · Views: 45
  • WP_20170304_15_05_50_Pro.jpg
    270.4 KB · Views: 44
  • WP_20170304_15_08_29_Pro.jpg
    380.8 KB · Views: 40
  • WP_20170304_15_08_31_Pro.jpg
    299.4 KB · Views: 41
  • WP_20170304_15_05_38_Pro.jpg
    287.1 KB · Views: 42
  • WP_20170304_15_05_35_Pro.jpg
    332.5 KB · Views: 39
  • WP_20170304_15_05_30_Pro.jpg
    307.8 KB · Views: 41
Kama unakwenda Kisiju liko kushoto au kulia ? Ni baada ya kile kipande cha lami au kabla?
 
Kama unakwenda Kisiju liko kushoto au kulia ? Ni baada ya kile kipande cha lami au kabla?

ukimaliza kuteremka ule mlima ambao hauna Lami mkono wa kulia ni karibu na kile kibao cha shule
 
Umbali ngapi toka main road lami
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…