Wazungu wanasema ''No research no right to speak'' Kiongozi siku nyingine fanya kwanza utafiti alafu ndiyo ufungue domo lako usilolipia kodi..:A S wink:
Kwahiyo Milioni2 yako labda ukanunue bagamoyo lasivyo hapa jijini utauziwa bwawa la samaki kama sio kichuguu....