Kiwanja kinauzwa mikwambe jijini dar es salaam

Kiwanja kinauzwa mikwambe jijini dar es salaam

kamrume

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
35
Reaction score
24
habar wana jamii. nauza kiwanja changu kipo
mikwambe dar es salaam.mikwambe ipo bara bara
ya kigambon kongowe. Kiwanja kipo kwenye mtaa
uliojengeka vizuri na wenye bara bara za mtaa.
Huduma zote zipo karibu,maji umeme na miundo
mbinu mizuri sio mbali kutoka bara bara kubwa ni mwendo wa dk 2. Kiwanja kina ukubwa wa urefu
miguu 28 na mapana 28. Bei ni milion nne na nusu
ila maongezi yapo.
Wasiliana nami: 0656251874
 
Mkuu, bora nenda kapime kiwanja chako kwa meter au futi then uje utuambie hii habari ya miguu ni ngumu kumeza. Halafu ukiliweza hilo, ningependa kujua hiyo mikwambe njia gani rahisi inayotumika ni ile ya feri au hiyo ya Mbagala? kama ni ya Mbagala kutoka pale kona ya Barabara ya Kilwa na inayoingia Kigamboni kuna kilomita ngapi hadi kufikia kiwanja kilipo, na Umeme uko umbali gani kutoka kiwanja chako. Shukrani
 
Weka vpmo kwa meter,miguu maana yake feet inamaanisha 1foot= 0.31m kwahyo kiwanja chako ni meter nane kwa nane hata chumba kimoja haujengi...weka vpimo kwa meter!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom