Kiwanja kinauzwa mbweni

badspender1

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
74
Reaction score
6
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 35 kwa 35 kinauzwa Mbweni. Kipo umbali wa mita 300 tu kutoka Barabara Kuu ya Bagamoyo- Boko Magengeni na mita 70 tu kutoka barabara ya lami iendayo Mbweni. Bei Tshs 100 Million (maongezi yapo) Kwa maelezo zaidi piga namba 0756595959/0715595956 Materu
 
😳😳😳😳 milioni 100???? Kila la heri
 
Huyu mwenzako hapa yeye kila kukicha anaweka upya tangazo lake.Anauza ekari moja kwa 8M hukohuko mbweni,Sasa wewe Hiyo ni nusu ekari unauza 100M

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=724348

Hizi bei nani huwa ana wadanganya lkn? Ukipata mteja kwa hiyo bei njoo nikupe cha kwangu bureee.
 
Unakuta mwenye kiwanja anataka million 4 tu.Nyingine yote jamaa anataka achikichie.Mimi pia nina kiwanja maeneo hayo kipind wanapima serikali ilituuzia million 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…