Mrigariga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 1,760 Reaction score 1,634 Jan 21, 2014 #1 Kiwanja kinauza maeneo ya Mbweni Mpiji jirani na Hospitali ya Mbweni na Eneo la Masista. Kiwanja kipo barabarani kimepimwa tayari na kina hati safi. Ukubwa wake ni mita 988 za mraba. Kwa watakao taka kukiona please pm. Bei yake ni Millioni 30 tu.
Kiwanja kinauza maeneo ya Mbweni Mpiji jirani na Hospitali ya Mbweni na Eneo la Masista. Kiwanja kipo barabarani kimepimwa tayari na kina hati safi. Ukubwa wake ni mita 988 za mraba. Kwa watakao taka kukiona please pm. Bei yake ni Millioni 30 tu.
mkuzi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,462 Jan 21, 2014 #2 vipi kwa 20m kinauzika ?
Mrigariga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 1,760 Reaction score 1,634 Jan 21, 2014 Thread starter #3 Hapana mkuu bei hiyo ndo ya mwisho.