Gumilapua JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 935 Reaction score 733 May 28, 2015 #1 kiwanja kipo Msakuzi mita kama 500, toka kituo cha mwisho cha daladala! Kiwanja cha ukubwa wa miguu 30x20, kipo kwenye mtaa kinafikiwa na barabara yaani T junction, umeme upo karibu huitaji kununua nguzo. kina slope kidogo hivyo hakituamishi maji. bei yake ni milioni sita tu! kama ni mteja wa kweli, unaweza kuni-PM tuongee biashara.
kiwanja kipo Msakuzi mita kama 500, toka kituo cha mwisho cha daladala! Kiwanja cha ukubwa wa miguu 30x20, kipo kwenye mtaa kinafikiwa na barabara yaani T junction, umeme upo karibu huitaji kununua nguzo. kina slope kidogo hivyo hakituamishi maji. bei yake ni milioni sita tu! kama ni mteja wa kweli, unaweza kuni-PM tuongee biashara.