Kiwanja Kinauzwa (Mbezi Luisi)

EWGM's

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
1,521
2,112
Wakuu kuna Kiwanja kinauzwa Mbezi Luisi 20 X 20, sehemu safi sana,

Mwendo wa dk 16 kwa mguu kutoka kituo cha Mbezi mwisho kwenye barabara kuu ya Morogoro.

Kipo kwenye njia ya kuelekea Kawe kutokea Mbezi mwisho kituoni.

Bei ya kiwanja ni Shilingi Milioni 10 .


Vipo vitatu, vina ukubwa sawa, chaguo ni lako wahi kabla hujachelewa

(Kwa melezo zaidi ni PM, madalali marufuku)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom