Kiwanja kinauzwa mbezi luis bei poa

Kiwanja kinauzwa mbezi luis bei poa

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
646
Reaction score
1,225
Nina kiwanja nauza mbezi makabe karibu na shule ya msingi makamba,ni sehemu watu wanajenga majumba ya kifahari, ukubwa 20x42, bei 12M kina hati ya serikali ya mtaa. dakika 5 kutoka barabara iliyo kwenye ujenzi wa lami, haihitaji dalali, simu yangu 0757910088
 
Hivi mbezi makabe ipo wapi vile?
Mwai Kibaki road au Morogoro road?maana naona ramani kichwani haisomi fresh kabisaaaaa?!sijui ni hi swaumu au vipi!
 
magufuli kashasema wote wanaojenga karibu na bara bara (ref.dk 5 toka bara barani) wanatafuta kununua umasikin wa bureee.
 
Kiwanja chenye hati ya serikali ya mtaa kwa maeneo haya ya msakuzi hakijafikia bei hiyo mkuu...kwanza kwa nn usiseme msakuzi unasema makabe,shule ya msingi mkapa iko makabe au msakuzi....??? na wambie wanunuzi wajue kwamba kiwanja kipo msakuzi karibu na shile ya msingi mkapa....ni wastani wa kilometa 6 kutoka morogoro road....rough road!
 
Sorry...masahisho,ni shule ya msingi makamba na siyo mkapa!
 
Kuwa muwazi zaidi siyo tu kusema bei poa ni ngapi na ukubwa wa kiwanja ukoje?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom