Du ulofa huu ningekuwa na mpunga ningekitwaa hicho kiwanja, jamani kwa Dar hakuna eneo zuri kama Mbezi Juu bahari yote unaiona na upepo mwanana kutoka barini unaupata hata bila ya kujenga ghorofa , na jiji loote unaliona mwe.Mwalafyale hicho kiwanja kinanitoa udenda ,