Sweet Sucker Member Joined Jan 7, 2020 Posts 42 Reaction score 49 Jul 3, 2020 #1 Ukubwa 400 mita za mraba Bei tshs 3.5milioni. Skwata, mwenye kiwanja kajenga jirani Gari haifiki.. 0686648630
Ukubwa 400 mita za mraba Bei tshs 3.5milioni. Skwata, mwenye kiwanja kajenga jirani Gari haifiki.. 0686648630
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,545 Reaction score 49,420 Jul 3, 2020 #2 Mbezi juu sehemu gani? Karibu na Kanisa la KKKT au kwa Sanya
Sweet Sucker Member Joined Jan 7, 2020 Posts 42 Reaction score 49 Jul 3, 2020 Thread starter #3 Sandali Ali said: Mbezi juu sehemu gani? Karibu na Kanisa la KKKT au kwa Sanya Click to expand... Kituo bondeni
Sandali Ali said: Mbezi juu sehemu gani? Karibu na Kanisa la KKKT au kwa Sanya Click to expand... Kituo bondeni
Sweet Sucker Member Joined Jan 7, 2020 Posts 42 Reaction score 49 Jul 3, 2020 Thread starter #4 Sandali Ali said: Mbezi juu sehemu gani? Karibu na Kanisa la KKKT au kwa Sanya Click to expand... Kama unatokea Mwenge, unashuka bondeni, umbali wa kama kilomita moja
Sandali Ali said: Mbezi juu sehemu gani? Karibu na Kanisa la KKKT au kwa Sanya Click to expand... Kama unatokea Mwenge, unashuka bondeni, umbali wa kama kilomita moja
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,545 Reaction score 49,420 Jul 3, 2020 #5 Ahahahaha, bila shaka itakuwa ni karibu na Pori la jeshi au karibu na Makongo juu. Maeneo mazuri yametulia tuli
Ahahahaha, bila shaka itakuwa ni karibu na Pori la jeshi au karibu na Makongo juu. Maeneo mazuri yametulia tuli
jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,415 Reaction score 1,192 Jul 4, 2020 #6 Kina documents?
Sweet Sucker Member Joined Jan 7, 2020 Posts 42 Reaction score 49 Jul 4, 2020 Thread starter #7 jang said: Kina documents? Click to expand... Zipo mkuu
tyc JF-Expert Member Joined Feb 25, 2014 Posts 1,178 Reaction score 2,977 Jul 4, 2020 #8 Kina nyaraka gani za umiliki mkuu!? Pia nipe location ya kueleweka Mbezi juu ndio wapi!? Umeandika gari haifiki,,, inamaana hakuna road inayofika hapo kwenye plot!?
Kina nyaraka gani za umiliki mkuu!? Pia nipe location ya kueleweka Mbezi juu ndio wapi!? Umeandika gari haifiki,,, inamaana hakuna road inayofika hapo kwenye plot!?