Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach Makonde opposite na JK Nyerere International School
1. 400 square meters
2. Kina Title DID
3. Kina meter ya DAWASCO
4.DALALI HATAKIWI KABISA
mh.....!matangazo mengine, yani hapa inategemewa mtu aje ajiseme mimi nina milion 100.? au kinauzwa kwa mnada.? jaribu kuweka bei fixed. katika tangazo lako. Hata hili mil 85 ni kubwa sana kwa ukubwa wa kiwanja.By the way napita tuu.