Kiwanja kinauzwa mbezi beach

Kiwanja kinauzwa mbezi beach

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Kiwanja kiko mbezi beach africana bei maelewano ila kwa kuanzia 15ml.kiko njiani gari inafika. Ukubwa upana mita 15 urefu mita 20 tuwasiliane
 
kiwanja kiko mbezi beach africana bei maelewano ila kwa kuanzia 15ml.kiko njiani gari inafika. Ukubwa upana mita 15 urefu mita 20 tuwasiliane

kiko residential area au panafaa for bussiness?
Mfano hoteli ndogo?
 
No ni eneo la makazi ya watu na sii kwa biashara
 
Sorry nlpitiwa usingizi. The plac is not far from b'moyo road. It takes nearly 10 to 15 mints to get there by foot and 5mints by car
 
Mkuu mbezi beach africana upande gani?upande wa beach au upande wa salasala?toa direction vizuri kuna jamaa yangu alikua anahitaji kiwanja mitaa hiyo.
 
Mtauziwa barabara ya magufuli!!Angalizo~~:noidea:
 
Kiwanja kiko mbezi beach africana bei maelewano ila kwa kuanzia 15ml.kiko njiani gari inafika. Ukubwa upana mita 15 urefu mita 20 tuwasiliane
nahitaji muu hicho kiwanja, mbona hujaweka mawasiliano, weka mawasiliano mkuu
 
Sorry nlpitiwa usingizi. The plac is not far from b'moyo road. It takes nearly 10 to 15 mints to get there by foot and 5mints by car

u meant ON foot,if not mistaken!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom