kiwanja kinauzwa kipo mbande mita chache kutoka azam complex, kipo sehemu nzuri,huduma zote muhimu zipo kama maji,umeme, kina ukubwa wa futi 50 kwa 50 kipo kwenye mtaa uliojengeka vizuri. Bei ni milion saba na nusu.mazungumzo yapo.kwa mawasiliano.: 0716822166 au 0783298957