Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Hakina mgogoro?? Je kimepimwa???
Kiwanja kinauzwa mbagala,, zakhem, sh million 3, kina ukubwa wa 82 kwa 45 mita, ukihitaji nitafute kwa namba 0652644236
Una uhakika wa hivyo vipimo? Naona haviendani na hiyo bei unless iwe open space unataka kumkanyagisha mtu!
weka picha
82 Kwa 45,3m?
Huyu hajajua vizuri vipimo. Pengine anazungumzia futi na sio mita.
Hiyo km sio OS basi kuna Gogoro hapo...
Karibuni mtapaona na tutapima wakuu