Kiwanja kinauzwa mbagala,, zakhem, sh million 3, kina ukubwa wa 82 kwa 45 mita, ukihitaji nitafute kwa namba 0652644236
Huyu hajajua vizuri vipimo. Pengine anazungumzia futi na sio mita.
duuuh hiyo zaidi ya heka kwa million tatu kweli mana heka 70 kwa 30 je ni ukweli
itakua tindigani