Weka Picha ya hiyo Nyumba tuthaminishekiwanja kipo eneo la kigamboni njia ya Dege kituo shule, ukubwa wake bado hatua chache kifike Robo Acre, katikati ya kiwanja kuna nyumba kubwa ilikuwa tayari ishaaza kujengwa imefikia nusu. bei Mil 12
kwa maelezo zaidi piga No : 0719163288
0765933745
Nop nopKimepimwa?
Robo heka itakuwa kama mita 17 kwa 18 hivi, ungeweka na picha ya mjengo tungethaminisha vizuri.