Kiwanja kinauzwa maeneo ya boko

Kiwanja kinauzwa maeneo ya boko

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
611
Habari wana jf,

Kama heading inavyojieleza hapo juu, kuna kiwanja halali kabisa kinauzwa maeneo ya Boko.

MAHALI: Boko Dovya

VIPIMO: 28 kwa 25

BEI: Kuanzia milioni 18.5 lakini bei inapungua

Kwa mawasiliano zaidi piga 0759019063 muda wowote
 
boko dovya ndo wapi? njia panda ya mbweni? kama ndo hapo mbona bei rahisi ivyo?
 
Nilidhani BOKO HARAM. KUmbe Boko Dovya.. Hivi Neno Dovya uwa lina maana gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom