Kiwanja kinauzwa madale area | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa madale area

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mnyamangeso, Feb 23, 2012.

 1. m

  mnyamangeso Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 27, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja hiki kinaukubwa sawa na uwanja wa mpira wa miguu ( a standard football pitch/ground)...kipo barabarani eneo la madale dsm na linafaa sana kwa petrol station maana sehemu ile hamna(sio lazima ni pendekezo langu). Bei ni tzs milioni 100.

  Mawasiliano.
  0716 857134
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  We unataja 2 hiyo bei lakini cjui ume2mia vigezo vya kwamba nitaweka petrol station lakini me cna idea hiyo bei itashuka au.
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  kina hati
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Unazungumzia title deed? Hati hata hawa wa serikali za mtaa wanatoa.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Mhm 100ml??madale hii ninayoishi?kunakiwanja cha million 100?Napita wakuu!
   
 6. N

  Njele JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii nadharia watanzania wanazidi kunivunja mbavu kila kukicha. Kiwanja hicho kwa bei hiyo hata kingekuwa katikati ya jiji bado kungekuwa na mabishano ya bei, sasa huko Madale nawe kutoa pendekezo la kufanya Gas station siona mantiki yake.

  Urahisi wa kujipangia pesa kama hizo kwa wauza mirungi hana uchungu na pesa yao, lakini mvuja jasho atajuliza mara mbili pesa alizotaabikia.
   
 7. m

  mnyamangeso Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 27, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja kina hati halali ya mmiliki na mawasiliano nimeweka kwa muhitaji ambaye yupo serious...kuhusu matumizi ya kiwanja nimeeleza awali kuwa ni maoni yangu na siyo lazima kwani ni kama ununue suti alafu muuza duka akushauri uivae siku ya harusi na wakati wewe unaweza kuiona inafaa kwa kunywea bia weekend na sio harusini...Kuhusu bei mimi naona ni ya kawaida kwani kama mtu anaweza kujinunulia land cruiser V8 kwa gharama kubwa unadhani anashindwa kununua uwanja kama huo akainvest watu kadhaa wakapata ajira juu yake na familia zao zikamuombea aendelee kuishi duniani maana anawasaidia...thanx
   
 8. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,822
  Likes Received: 921
  Trophy Points: 280
  Mafisiadi wametuharibia nchi sna..
   
 9. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  milion 100 na petrol station...mnhhhhhhh...ngoja nikutumie namba za jamaa yangu mohamed barhboob, oilcom, felix mosha, riz-1 na wadau wengine kwenye biashara ya mafuta...ila kama unaongelea 10m na kushuka chini sisi ndio wateja wako..au vip????
   
Loading...