Kiwanja kinauzwa Luguruni Makondeko

Kiwanja kinauzwa Luguruni Makondeko

Mukhabarat

Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
90
Reaction score
28
Kiwanja kina ukubwa wa mita 25 kwa 40,kinafikika kwa gari bila wasiwasi, barabara inapita mbele ya kiwanja, nguzo ya umeme imesimikwa jirani kabisa na kiwanja,kipo kwenye maeneo ya makazi ya watu yaani wapo majirani walioshajenga na kuhamia, utakuwa jirani na stendi mpya ya mkoa itakayohamishwa toka ubungo, biashara haina dalali. Kwa mawasiliano ya bei n.k piga simu namba 0687 545354
 
Kuna umbali gani kufika kwenye kiwanja ukichepuka kutoka morogoro road?
 
Kiwanja kina ukubwa wa mita 25 kwa 40,kinafikika kwa gari bila wasiwasi, barabara inapita mbele ya kiwanja, nguzo ya umeme imesimikwa jirani kabisa na kiwanja,kipo kwenye maeneo ya makazi ya watu yaani wapo majirani walioshajenga na kuhamia, utakuwa jirani na stendi mpya ya mkoa itakayohamishwa toka ubungo, biashara haina dalali. Kwa mawasiliano ya bei n.k piga simu namba 0687 545354

Kimepimwa na una hati yake, isijeikawa umeshakula fidia ya kuhamishwa hapo kupisha ujenzi wa stend halafu unataka kula na zangu

hakina hati, na wala ujenzi wa stand haufanyiki maeneo yalipo kiwanja, ila kwa kujiridhisha unaweza kupata information kutoka serikali za mitaa, mjumbe wa eneo, ukifika ndipo utapata uhakika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom