Kiwanja kinauzwa luguruni makondeko

Kiwanja kinauzwa luguruni makondeko

Mukhabarat

Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
90
Reaction score
28
Ukubwa wa kiwanja ni mita 25 kwa 40, kipo luguruni makondeko.Luguruni makondeko ndipo ambako serikali imeamua kujenga na kuhamishia stendi ya mkoa ya ubungo, kiwanja kipo kwenye makazi ya watu, yaani kuna majirani walioshajenga na kuhamia,kinafikika kwa gari bila wasiwasi, barabara inapita mbele ya kiwanja, nguzo ya umeme ipo jirani kabisa.kwa mawasiliano ya bei n.k piga simu namba 0687 545354
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom