MWAKIGOBE
Member
- Nov 1, 2010
- 65
- 3
Kiwanja hiki kina ukubwa wa heka moja, kipo ubungo msewe karibu na chuo kikuu cha dar es salaam kinapakana na eneo la chifu kunambi. Pamoja na miti, pia kina nyumba mbili ambazo bado kupauliwa tu. Hati zote zipo. Bei ni mil. 35 tu za kitanzania. 0719646407/0713802507