Habari ndugu wanajamii!
Kuna kiwanja kipo maeneo ya kivule stendi ya daladala kinauzwa!
Umbali kutoka stendi ni mita 60.
Ukubwa wa kiwanja ni 23 x 20 ft.
Bei sh.6,500,000/= (ukipungukiwa kidogo tunaweza kuzungumza)
kama unahitaji nicheki kwenye 0719 489 138 au 0788 935 395.
Note: mimi syo dalali na kama wewe siyo mnunuzi kipotezee!
Asanten!