Kiwanja kinauzwa Kisukuru

Kiwanja kinauzwa Kisukuru

stepper

Senior Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
112
Reaction score
56
Kiwanja kina hati miliki ,kina ukubwa wa miraba 1516 bei maelewano . Nipigie kwenye number tufanye biashara

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
miraba 1516 ndio nini??
 
Mkuu unamaanisha sqm 1516 au mita 15*16?
 
Sq metre 1516

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.

ASANTENI.
 
Kiwanja bado kipo Sq metre 1516 bei million 18
 
ImageUploadedByJamiiForums1458850889.430345.jpg

Kiwanja Ilala Buyuni. 29kms to city center. Kipo ndani ya Mradi wa nyumba 400 za PSPF.

Location: Mbele kidogo ya Pugu.
Hauitaj Nguzo. Unajenga na kuhamia. Clean documents.

Size: Sqmtr 1111.

Karibuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom