Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,766
- 2,685
mbona unakiuza bei rahisi hivyoHabari wakuu.
Nina ekari moja ya eneo lipo Mjini Morogoro, Kilomita 21 toka Msamvu stand kuelekea Dodoma, Kilomita 9 toka highway.
Sifa:Jirani zangu wanalima alizeti
Kuna kiwanda cha kusindika nyama jirani
Kuna maji ya visima
Nauza laki tano.(500,000/-).Maelewano yapo.
0713-039875
Mussa
Ndo bei elekezi kwa kijiji hicho, Unless viongozi wanaweza wakagoma kusaini makubalianombona unakiuza bei rahisi hivyo
Kaweka bei sahihi, hoja, ikiwa juu hoja. Tofauti ya bei lazima iwepo kati ya eneo moja na jingine kulingana na mambo mbalimbali katika eneo husika.mbona unakiuza bei rahisi hivyo
Panaitwa majichumvi
Wengine wanauza, Mi ninazo tatu ila nauza moja tu. KaribuMi nataka heka 5, naweza Kupata maeneo hayo?
Naomba nichek Watsap 0758417253Habari wakuu.
Nina ekari moja ya eneo lipo Mjini Morogoro, Kilomita 21 toka Msamvu stand kuelekea Dodoma, Kilomita 9 toka highway.
Sifa:Jirani zangu wanalima alizeti
Kuna kiwanda cha kusindika nyama jirani
Kuna maji ya visima
Nauza laki tano.(500,000/-).Maelewano yapo.
0713-039875
Mussa
Mi sina eneo huko,napajua tuMi nataka heka 5, naweza Kupata maeneo hayo?
Mkuu usafiri wa kufika huko km tisa nje ya barabara upo?Wengine wanauza, Mi ninazo tatu ila nauza moja tu. Karibu
Barabara ya vumbi, Unaweza fika kwa gari binafsi au bodaboda, hakuna Hiace.Mkuu usafiri wa kufika huko km tisa nje ya barabara upo?
Mi nataka eka tano eneo ninaloweza kulima mazao mbalimbali
Kijiji gani mkuu? Unapita Halmashauri Mvomero?Ndo bei elekezi kwa kijiji hicho, Unless viongozi wanaweza wakagoma kusaini makubaliano
Haufiki Mvomero, Baada ya MkundiKijiji gani mkuu? Unapita Halmashauri Mvomero?
Kijiji cha maji chumvi, 21 km toka Msamvu to Dodoma.Kijiji kina Mashamba, makazi na kiwanda cha nyama. Kuhusu Kabila M ni Mluguru, Jirani yangu Mrangi na wengine bado kufahamu. KaribuNaomba ututajie jina la sehemu kilipo tafadhali.
Pia hilo eneo liko kwenye sehem ya mashamba ama makazi ya watu hata kama ni kijiji?
Wenyeji wa eneo hilo ni kabila gani?
Unataka bei kubwa kwani unahela wewe?....hizo ndio bei maeneo mengi ya Tanzaniambona unakiuza bei rahisi hivyo
mbona unakiuza bei rahisi hivyo