Kiwanja kinauzwa kipo MBANDE stand

Kiwanja kinauzwa kipo MBANDE stand

MY LOVE

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
161
Reaction score
68
Kiwanja chenye ukubwa wa ft100 kwa ft110 kinauzwa, kipo mbande hatua chache kutoka stand kama unaelekea mvuti. Nikizuri sana na bei yake ni mzuri sana. Ukiwa unahitaji ni PM.

Nashukuru kwa kila mmoja aliyeshiriki ktk mchakato huu, kiwanja kimenunuliwa jana tarehe 12/02/2013. ASANTENI SANA.
 
mkuu siku hizi unaweka mambo wazi. kinakwenda shs ngapi?
 
Tangazen vitu vizur
Mkoa gan, sehem gan?!
Picha?!
Bei?
Weka namba ya sim, kuPM haikusaidii kupata mteja haraka, weka namba ya simu ni rahis kuongea moja kwa moja.
 
Hao ndio watz badae cn bati hapauziki tajabei watu wajue ukoshamba bei gan kiwanja
 
Kiwanja chenye ukubwa wa ft100 kwa ft110 kinauzwa, kipo mbande hatua chache kutoka stand kama unaelekea mvuti. Nikizuri sana na bei yake ni mzuri sana. Ukiwa unahitaji ni PM

naomba bei na tuwasiliane naweza nunua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom