Kiwanja kinauzwa kipo kiluvya-Gogoni

Kiwanja kinauzwa kipo kiluvya-Gogoni

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
Kiwanja chenye ukubwa wa 32 kwa 36 kinauzwa kina nyumba kwa pembeni yenye vyumba vitatu kipo kiluvya gogoni(Njia panda ya kawawa), ni mbele kidogo ya kibamba.Umeme na maji yapo.
Bei ni 16.5M
contact-0714-079636
 
Hcho ndo kipimo gan metre, futi au hatua? Kiwanja kimepimwa /hati ipo? Hyo nyumba iliyopo ipo kwenye mjengo gan..vyumba vya nje au! Vina umeme na maji! Gari inafika? Umbal gan toka Gogon stend! Pako tambarare au mteremkon! Pako mliman au bonden? Eneo lina mazao yoyote? Eneo halina mgogoro! Je bei inapungua! Kuna umbal gan mpaka ilipo shule na hosptl? NIJIB YOTE PLEASE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom