Rolandi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 920
- 490
Tatizo la kinyerezi ni maji. Maji ya serikali hakuna, ya kuchimba ni ya chumvi kinyerezi yote. Yaani hata kuoshea gari hayafai. Ukitokea njia panda ya segerea majumbasita kwenda kinyerezi utapishana na magari ya kubeba maji kupeleka kinyerezi. Kama ni kiwanja cha biashara ambayo haiihitaji maji sawa lakini kama ni kwa ajili ya kuishi jiandae kununua maji kila siku
Samahani muuzaji kwa comment hii
Samahani muuzaji kwa comment hii