Kama unapenda kiwanja kinyerezi shule, bei 5,000,000 nicheki, 0713415537 unaweza hata kujenga frem kwa mbele
Kaka kuna namba ya cm hapo kama upo serious nibip nikupigie.
Hatua 48 kwa 46
Hatua za Hashimu thabit au emolo?
Masihara haya jamaa angu ahaaa
Duh bei nzuri sana hiyo