Kiwanja kinauzwa kimara

Kiwanja kinauzwa kimara

kabasele

Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
93
Reaction score
36
Wapi?Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Morogoro Rd (Kimara mwisho).
Ukubwa? mita 28 kwa 26
Bei?
milioni 15
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Barabara ipo mpaka kiwanjani
. Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
. Usafiri wa daladala upo
. Ni karibu sana na barabara kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom