Kiwanja kinauzwa Kiluvya kwa Komba

Kiwanja kinauzwa Kiluvya kwa Komba

Kiresua

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Posts
1,183
Reaction score
261
Kiwanja Kinauzwa, Kiluvya kwa Komba upande wa Kulia Ukitokea Kibaha umbali kama Km 3 kutokea barabara ya Morogoro. Umeme uko Mita kama 10. Ukubwa wa Kiwanja ni Mita 50x40!-Unsurveyed kina hati ya serikali ya mtaa

Aliyeko Interested AniPM au kwa namba 0784 77 41 02 kwa Kupata Bei na Mazungumzo!

Hakina Dadali anayeuza ni Mdogo wangu wa Tumbo Moja!

Binafsi nauza kiwanja Korogwe eneo la Bagamoyo barabara mpya ya lami kuelekea Handeni ukubwa wa Kiwanja ni mita 25x40. Kipo karibu na shule ya eanglish medium! -Surveyed Kina Ofa

Aliye intested aniPM au kwa namba 0784 77 41 02 kwa kupata bei na Mazungumzo! -

Thanks
 
hivi huwa mnashindwa nini kuweka mambo yote hadharani?????
 
Kwanini usiweke bei hapa? Huo nao ni udalali!
 
Kipo kingine bei 5mil umeme upo 20 kwa 30 hakijapimwa ila umeme,maji vipo jirani piga 0755-859008 upande wa kisarawe 2km toka moro rd
 
Asee Sio dalali mimi nimesema anyeuza ni mdogo wangu aliniomba nimwekee tangazo kwenye JF maana sio member humu atakaye kuwa interested tukishajiridhisha ni seriuos buyer nitamuungansha naye kwa mazungumzo zaidi! hakuna wasiwasi kabisa.
 
Mbona hutaki kutaja bei?
Kwanini bei iwe siri wakati umeweka tangazo?
 
Kiwanja Kinauzwa, Kiluvya kwa Komba upande wa Kulia Ukitokea Kibaha umbali kama Km 3 kutokea barabara ya Morogoro. Umeme uko Mita kama 10. Ukubwa wa Kiwanja ni Mita 50x40!-Unsurveyed kina hati ya serikali ya mtaa

Aliyeko Interested AniPM au kwa namba 0784 77 41 02 kwa Kupata Bei na Mazungumzo!

Hakina Dadali anayeuza ni Mdogo wangu wa Tumbo Moja!

Binafsi nauza kiwanja Korogwe eneo la Bagamoyo barabara mpya ya lami kuelekea Handeni ukubwa wa Kiwanja ni mita 25x40. Kipo karibu na shule ya eanglish medium! -Surveyed Kina Ofa

Aliye intested aniPM au kwa namba 0784 77 41 02 kwa kupata bei na Mazungumzo! -

Thanks

Weee n bogus kabisa huwez sema unauza kitu halafu hutaji bei...weka bei hapo kiaz wewe!!!
 
3 Kms toka main rd ya morogoro, si utakuwa umefika eneo la jeshi tayari?
 
Asante Mkuu haina shida! kwani naweza kuwa kiazi kwa sababu wewe umesema!? hapana kaka
Weee n bogus kabisa huwez sema unauza kitu halafu hutaji bei...weka bei hapo kiaz wewe!!!
 
3 Kms toka main rd ya morogoro, si utakuwa umefika eneo la jeshi tayari?
Hapana Mkuu kama wewe ni mwenyeji wa huko uliza kwa Mzee wa Povu! Ndio jirani na hicho kiwanja, Muulize yote unayotaka kujua!
 
Duu! hujamaa ni balaa maswali yote anajibu ila suala la bei kaweka kapuni,angalieni asijepigwa mtu hapo maana biashara nyingi zisizo na bei huwa niza kitapeli tapeli unakuta mtu anakwambia usijali bei tutaelewana najua mimi nawewe hatuwezi shindwana,ukiona hivyo ujue ushalizwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom