sasa kipo kingine cha kwangu au cha kwako na kama cha kwako si uanzishe uzi wako mbona watanzania mnapenda kukanyaga ganda la ndizi namna hii....
Simchezo..umetoa ushauri halafu mwisho na wewe ukaweka tangazo lako thread ya mwenzio, mama Wedding Planer!Labda anashindwa kuandika thread yake mkuu muelekeze aweze kujua wanaanidikaje hapa
wengine hawawezi ndo maana wanadandia thread za wenzao
kwa kweli sio ustaarabu angekuomba kwanza kisha na akaweka uzi wake
simchezo..umetoa ushauri halafu mwisho na wewe ukaweka tangazo lako thread ya mwenzio, mama wedding planer!
karibu kwa huduma za
decoration (open hall na kkumbi mbalimbali)
kutengeneza kadi na keki za sherehe mbalimbali
wedding planner
Hiyo ni signature yangu kama ilivyosignature yako kwa hiyo sio tangazao mkuu elewa maana sign