king kan
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,642
- 2,079
Kiwanja kinauzwa Mwongozo Kigamboni. Kiwanja hiki kina hati na kimepimwa na kiko tambarare tayari kabisa kwa ujenzi.
Kina eneo la square metre 700. Kipo mahali penye usalama wa kutosha na kinafikika kwa barabara nzuri wakati wote wa mwaka.
Bei yake ni milioni 25 za Kitanzania tu.
Kwa wanunuzi wasiliana nami kupitia:
Na. Ya Simu:0712124527
Email: kanfranco@hotmail.com
Au: ni pm hapa hapa jamiiforums