kiwanja kipo kigamboni wilaya ya temeke
kina ukubwa wa sqm 1,100
kipo gezaulole, ni km 16 kutoka feri ya magogoni
kimepimwa na kina ofa.
Kipo umbali wa hatua mita 30 kutoka barabara ya lami.
Kinauzwa 36m.
Mawasiliano: 0657 145555, 0685 31 23 26
mi ni dalali.
kwa mahitaji ya kiwanja hicho na vingine vingi tuwasiliane
sawa kipo bonyoka kwa ndevunitafutie cha 2mil dalali
kiwanja kipo kigamboni wilaya ya temeke
kina ukubwa wa sqm 1,100
kipo gezaulole, ni km 16 kutoka feri ya magogoni
kimepimwa na kina ofa.
Kipo umbali wa hatua mita 30 kutoka barabara ya lami.
Kinauzwa 36m.
Mawasiliano: 0657 145555, 0685 31 23 26
mi ni dalali.
kwa mahitaji ya kiwanja hicho na vingine vingi tuwasiliane
Akiri ntafutie eka moja iwe flat na square sio lazima iwe imepimwa ila iwe kwenye makazi kuwe na nyumba hata mbili tatu majirani kibugumo,gezaulole sio mbaya.
Haaaaaaaa! mkuu umeingilia kazi yangu , okey taja bei basi na weka mawasilinoKing Kong III,
Ninayo eka 1 Kibugumo, kuna banda na mimea kama inavyoonekana kwenye picha, haijapimwa. Jipangie bei mwenyewe, ikiniridhisha nakuuzia!View attachment 132249View attachment 132250View attachment 132253
King Kong III,

sawa kiongozi hizo zipo ni pm unipe number yako nikupeleke ukalipe
poa pamoja mkuu !Namba yako nnayo j1 ntakucheck.
Haaaaaaaa! mkuu umeingilia kazi yangu , okey taja bei basi na weka mawasilino
bei hutegemea sana na eneo ilipo , lakini unaweza pata kuanzia 17m mpaka 40Plot ya sqm 1200 inapatikana kwa bei gani?
bei hutegemea sana na eneo ilipo , lakini unaweza pata kuanzia 17m mpaka 40