Kiwanja kinauzwa kigamboni,ungindoni.

Kiwanja kinauzwa kigamboni,ungindoni.

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Jaman kutokana na maisha kubana nmeamua kukata sehem ya ardhi yangu iliyoko maeneo ya ungindon na kuiuza walau nipate kujiendeleza na mambo mengne. Kiko karibia na barabara ukubwa ni 25*20. Bei ni ya kawaida tu ya 4m. Kwa mwenye uhitaj tafadhali anichek 0713806766. Karbuni sana
 
Yakawaida ni 4ml....ukitaka kukiuza nambie ntakupa 1ml najua hiyo bei yako unatania ukiwa serious kuuza nambie
 
Jaman kutokana na maisha kubana nmeamua kukata sehem ya ardhi yangu iliyoko maeneo ya ungindon na kuiuza walau nipate kujiendeleza na mambo mengne. Kiko karibia na barabara ukubwa ni 25*20. Bei ni ya kawaida tu ya 4m. Kwa mwenye uhitaj tafadhali anichek 0713806766. Karbuni sana

Mkuu fanya mpango ukiongezee Kiwe 25*25 nikupe 3ml.
 
Jaman kutokana na maisha kubana nmeamua kukata sehem ya ardhi yangu iliyoko maeneo ya ungindon na kuiuza walau nipate kujiendeleza na mambo mengne. Kiko karibia na barabara ukubwa ni 25*20. Bei ni ya kawaida tu ya 4m. Kwa mwenye uhitaj tafadhali anichek 0713806766. Karbuni sana

Mkuu hiki kiwanja kipo upande gani ukiwa unatokea Mwembe Mtengu/Kongowe?
 
Ungindoni hapako kwenye ule mradi wa satellite city? Ama mama wa hela ya mboga aliondoka na mradi wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom