Kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka kinauzwa kimbiji kigamboni km 1 toka baharini na kiwanda cha cement bei milioni 6, kwa mawasiliano 0657868981 nb eneo halipo katika mradi wa mji mpya na sababu ya kuuza ni kupata hela ya kupima eneo lililobakia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.