amani kaseko
Member
- May 16, 2013
- 65
- 30
....Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada Square metres 1000 Fully documented yaani kina hati kamili... Ni kizuri sana. Bei million 25. Ni pm kwa maelezo zaidi
....Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada Square metres 1000 Fully documented yaani kina hati kamili... Ni kizuri sana. Bei million 25. Ni pm kwa maelezo zaidi
mkuu unapewa 15mMkuu bei yako kali kidogo ndo maana wameview watu 67 pamoja na mimi lakini nimecomment mie pekee ujue bei yako watu hawana. Watu wanafikiri mkoani hiyo pesa anajenga na chenji inabaki lakini hapo just kiwanja tuu
Block 1Block gani?
Block 1.. Miundo mbinu yote imefika.. Ni kiwanja kizuri mnoTujuze details za kiwanja, Kibada Block gani na miundombinu ikoje. Umbali wa kiwanja kutoka barabara kubwa na Je, umeme umefika? nk.
...Mkuu hiyo ndio market value ya hiki kiwanja kwa sasa kwa wanaoishi Dar es salaam wanafahamu issue ya kutafuta viwanja ilivyo tena vyenye hati ndio issue kwelikweli... Karibu sanaMkuu bei yako kali kidogo ndo maana wameview watu 67 pamoja na mimi lakini nimecomment mie pekee ujue bei yako watu hawana. Watu wanafikiri mkoani hiyo pesa anajenga na chenji inabaki lakini hapo just kiwanja tuu
Nimesha kupm number yangu... Karibu sana mkuuNipm namba yako tupatane bei
je kiwanja kipo?Mkuu bei yako kali kidogo ndo maana wameview watu 67 pamoja na mimi lakini nimecomment mie pekee ujue bei yako watu hawana. Watu wanafikiri mkoani hiyo pesa anajenga na chenji inabaki lakini hapo just kiwanja tuu
kama kipo ni pm namba yako.je kiwanja kipo?
...Mkuu hiyo ndio market value ya hiki kiwanja kwa sasa kwa wanaoishi Dar es salaam wanafahamu issue ya kutafuta viwanja ilivyo tena vyenye hati ndio issue kwelikweli... Karibu sana
Nimeshakupm mkuukama kipo ni pm namba yako.
Mkuu hiyo bei yako halipi mzee... karibu tenaMarket value ya Temeke ni 8,000/- per square mtr so 8m njo chukua fasta, land rent temeke 2,000 per sq mtr kwa mwaka,
Nimesha kupm number mkuupm namba yako please